big-diamond
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 421
- 551
Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu iliyopita, tumejaribu kwenda kwenye hospitali kadhaa, zikiwemo muhimbili, Dar Group na Kairuki na kuchukua vipimo kama Ultra Sound na Mammograph..
lakini zote zimeonesha kuwa hakuna uvimbe wowote ama dalili ya kutokea kwa uvimbe...Baada ya vipimo kutoonesha ugonjwa wowote, basi akapewa dawa za maumivu na dawa kuondoa acid na dawa za nerves, ila tangu aanze kuzitumia hizo dawa hakuna afadhali yoyote..
sana sana ni pain killers tu ndo zinazomuondolea maumivu..ila tiba ya kueleweka hajapata mpaka sasa..plus kuna clinic alikwenda temeke akaandikiwa sindano tano za powersef ambazo nazo hazijamtibu...please kuna mwenye uelewa wowote wa hii kitu..maana ni mateso makali...msaada wowote utathaminiwa sana....