Mponjoli JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 668 Reaction score 159 Nov 11, 2015 #1 Natafuta CCTV technician ambaye atakuwa tayari kufanya kazi mikoani. Nina wateja kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi. Tuwasiliane kupitia PM, then nitakupigia
Natafuta CCTV technician ambaye atakuwa tayari kufanya kazi mikoani. Nina wateja kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi. Tuwasiliane kupitia PM, then nitakupigia
umatemate JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 755 Reaction score 140 Nov 12, 2015 #2 kama kuna kazi morogoro mjini nichek mkuu
finance2014 JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 314 Reaction score 79 Nov 12, 2015 #3 Upo mkoa gani mkuu na ungependa kufanyiwa instalation mikoa gani