yohana ramadhan
Member
- Jun 22, 2019
- 31
- 18
nawaza sana hii biashara,naendelea kukichanga kibubu,nikanunue mashine namimi nipige kazi. mashine zinauzwa kiasi ganii
Nina eneo mt 100 kutoka barabara ya sheikhlango Sinza A. karibu na ukumbi wa harusi, bar, garage, kinyozi, na mfereji wa kutiririsha maji. Umeme na maji yapo. Ilimradi uwe na mashine zako za carwash na uwe tayari kuweka miundombinu sawa kwa kazi yako.Ngoj nikwambie tu arafu uweze tafuta sehemu y car wash inatakiwa iwe n bar au saloon utapiga ela sio iwe pekeake
Usileteh habari z tuchangie ww nipange kodi yko kias gnNina eneo mt 100 kutoka barabara ya sheikhlango Sinza A. karibu na ukumbi wa harusi, bar, garage, kinyozi, na mfereji wa kutiririsha maji. Umeme na maji yapo. Ilimradi uwe na mashine zako za carwash na uwe tayari kuweka miundombinu sawa kwa kazi yako.
Nipigie 0672355824, 0754639615 kati ya saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jioni tuongee biashara aksante
Samahani niambie bei zake zipo vipi brother pleasezipo za aina tofaut na bei pia tofaut
Samahani niambie bei zake zipo vipi brother please
zinapatikana kariakoo au postakuna zipo za 300000 mpaka milioni n Kuenddlea huko
Noo chemba tuzu gumzeWadau kwema polen kwa majukumu,jamani kama kuna mtu anajua sehemu nzuri ambapo panaweza funguliwa car wash au kama kuna car wash sehem mtu anapauza kuna Ndugu yangu anatafuta sehem hiyo afanye biashara ni kwa dar es salaam tu wapendwa.
zinapatikana kariakoo au posta
daa ahksante brotherkariakoo
powa powadaa ahksante brother
Mkuu ili eneo lililishapata muwekezaji??Nina eneo mt 100 kutoka barabara ya sheikhlango Sinza A. karibu na ukumbi wa harusi, bar, garage, kinyozi, na mfereji wa kutiririsha maji. Umeme na maji yapo. Ilimradi uwe na mashine zako za carwash na uwe tayari kuweka miundombinu sawa kwa kazi yako.
Nipigie 0672355824, 0754639615 kati ya saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jioni tuongee biashara aksante
Nina eneo mt 100 kutoka barabara ya sheikhlango Sinza A. karibu na ukumbi wa harusi, bar, garage, kinyozi, na mfereji wa kutiririsha maji. Umeme na maji yapo. Ilimradi uwe na mashine zako za carwash na uwe tayari kuweka miundombinu sawa kwa kazi yako.
Nipigie 0672355824, 0754639615 kati ya saa 3 asubuhi mpaka saa 12 jioni tuongee biashara aksante
Za umeme zinaanzia laki 550,000- 950,000 kwa model za edon,easy power,gtm,shakt-p...n.knawaza sana hii biashara,naendelea kukichanga kibubu,nikanunue mashine namimi nipige kazi. mashine zinauzwa kiasi ganii