yohana ramadhan
Member
- Jun 22, 2019
- 31
- 18
Wadau kwema polen kwa majukumu,jamani kama kuna mtu anajua sehemu nzuri ambapo panaweza funguliwa car wash au kama kuna car wash sehem mtu anapauza kuna Ndugu yangu anatafuta sehem hiyo afanye biashara ni kwa dar es salaam tu wapendwa.