Natafuta camera

Mwansile

Senior Member
Jan 20, 2013
112
0
nipo mwanza natafuta camera mega pixcels 16 nina laki moja nicheki kwenye 0765480855
 

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,428
2,000
Kaka utaambulia mchina tu... Camera ni zaidi ya Mega Pixel bwana. Kama vipi Save pesa ujichange upya mwakani mwezi kama huu unaweza kua na Laki 3 angalau upate Camera.

Kwahiyo pesa huwezi pata. Mara mia uongezee ununue tu simu kali.

Mchina mjanja sana, kishaona Watanzania wanajua Megapixel. Utaletewa Camera ina 18MP ila ikipigwa picha inapotezwa na Nokia Asha 502
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom