Utapeli kazini, awamu Hii kila kioja tutakiona!Hivi kweli MTU aje kiurahisi hivyo !!? Yeye aje na pesa na Wewe unakuja na nini? Bora ungechanganua ni biashara gani unataka kuifanya, Wewe unamtaji kiasi gani, Na unayetaka kushirikiana nae awe na mtaji gani, Biashara hiyo inatarajia kufunguliwa wapi, Ni faida zipi zitapatikana? Mgawo utakuwaje? Hali ya umiliki itakuwaje? n.k , Sio unakurupuka MTU aje na milioni mbili et aku pm , Labda utapata kwa sababu Wasukuma bado hawajaisha vijijini