Natafuta business partner or loan

Natafuta business partner or loan

mkuu mwenyewe

Member
Joined
Nov 23, 2013
Posts
22
Reaction score
1
habarini wandugu? miezi michache iliyopita nilianza mchakato wa kuanzisha biashara ya bakery. Cha kwanza nilinunua Mixer mashine (for cakes) kubwa ya lita 20, kisha nikafanya ujenzi wa eneo la mradi ambapo yamebakia matengenezo macheche sana.nature ya biashara itakuwa ni kutengeneza na kusupply cakes kwa wateja niliowatarget . pia nina uzoefu na nimesomea mambo ya baking, kwasasa wakuu nimeshindwa kwasababu uwezo wa fedha ya kununulia oven na startup cost nimekwama.Kwa aliye tayari tufanye pamoja anakaribishwa au kwa mtu yeyote mwenye utayari kuwekeza fedha baada ya miezi 3 hadi 6 fedha nikamrudishia kwa interest na agreement namkaribisha.Fedha inayohitajika ni 5 mill.Kwa maelezo zaidi about business, profitability etc PM or contact ubakery@yahoo.com. thanks
 
naweza kuwekeza hapo ukinijibu maswali yafuatayo:
1) Bishara ipo mkoa upi na sehemu gani?

2) Unawalenga wateja wa namna gani kwenye hiyo biashara?

3) Nini utafanya cha tofauti na wauzaji wengine wa mikate?

4) Unaweza kuweka breakdown ya hiyo milioni tano unayohitaji? Kwa maana ita cover nini na nini?

5) Umepanga kutengeneza mikate mingapi kwa siku na gharama. Pamoja na bei zake zikoje?

6) Je unapanga kutengeneza bidhaa zingine mbali na mikate?
habarini wandugu? miezi michache iliyopita nilianza mchakato wa kuanzisha biashara ya bakery. Cha kwanza nilinunua Mixer mashine (for cakes) kubwa ya lita 20, kisha nikafanya ujenzi wa eneo la mradi ambapo yamebakia matengenezo macheche sana.nature ya biashara itakuwa ni kutengeneza na kusupply cakes kwa wateja niliowatarget . pia nina uzoefu na nimesomea mambo ya baking, kwasasa wakuu nimeshindwa kwasababu uwezo wa fedha ya kununulia oven na startup cost nimekwama.Kwa aliye tayari tufanye pamoja anakaribishwa au kwa mtu yeyote mwenye utayari kuwekeza fedha baada ya miezi 3 hadi 6 fedha nikamrudishia kwa interest na agreement namkaribisha.Fedha inayohitajika ni 5 mill.Kwa maelezo zaidi about business, profitability etc PM or contact ubakery@yahoo.com. thanks
 
Najua umeweka post kwa ajili ya kupata msaada lakini kama ulivyojieleza ulikuwa banker hivi umeshindwa kutumia knowledge,uzoefu na hata contct za bank kupata mkopo ila sina nia mbaya ni ushauri tu
 
Hivi ni wap amekwambia alikua banker
 
Kwa biashara mpya usikope benki au kwa watu binafsi ni majanga,the bussiness is very profitable i know it,
 
Jamani mdau hajasema alikuwa banker ila amesema amepitia mafunzo ya baking (uokaji). Tuwe tunasoma vizuri kabla ya kucoment.
 
Najua umeweka post kwa ajili ya kupata msaada lakini kama ulivyojieleza ulikuwa banker hivi umeshindwa kutumia knowledge,uzoefu na hata contct za bank kupata mkopo ila sina nia mbaya ni ushauri tu

Hajasema banker amesema baking soma vizuri kabla ya kuandika maoni yako.
 
Najua umeweka post kwa ajili ya kupata msaada lakini kama ulivyojieleza ulikuwa banker hivi umeshindwa kutumia knowledge,uzoefu na hata contct za bank kupata mkopo ila sina nia mbaya ni ushauri tu

Rudia kusoma uzi mi sijaona sehemu alipoandika kuwa ni banker au baking=banking? macho yako yanamalyenge!
 
... pia nina uzoefu na nimesomea mambo ya baking, kwasasa wakuu nimeshindwa kwasababu uwezo wa fedha ya kununulia oven na startup cost nimekwama.............

Najua umeweka post kwa ajili ya kupata msaada lakini kama ulivyojieleza ulikuwa banker hivi umeshindwa kutumia knowledge,uzoefu na hata contct za bank kupata mkopo ila sina nia mbaya ni ushauri tu

Angalia vizuri kwenye red rodrick alexander

baking na baNking ni vitu tofauti.
 
Hebu jibu hapa chini tuone. Hata mm nikipata majibu waweza kuwa business partner. Kuna MTU kauliza maswali mazuri sn hapo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom