Nick Furry
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 182
- 185
Thanx...Ngoja watakuja, ila uko vzr. Mtaji unao. Mm naamini mtaji mkubwa sana upo kichwani mwa mtu...
Thanks brooAll the best mwanasuaso
Ndio nipo moro...and project zangu zote zitakuwa hapa..at least for now...so if u are interested just contact meIngekuwa moro ningekwambia mkuu njoo tuyajenge
Mimi nipo darNdio nipo moro...and project zangu zote zitakuwa hapa..at least for now...so if u are interested just contact me
Ahaaaa...nilizani upo moro...too bad...but asante japo kwa kunifikiria..next time may be ntapata nafasi ya kujifunza biashara dar es salaamMimi nipo dar
Karibu katika chama la retire youngAhaaaa...nilizani upo moro...too bad...but asante japo kwa kunifikiria..next time may be ntapata nafasi ya kujifunza biashara dar es salaam
Thanks brooKaribu katika chama la retire young
Mi Dada bhana, huoni neno pretty hapoThanks broo
Thanks for the advice ..and yes I am afraid coz sijawahi kufanya hii kitu...online mentors...yes lakini its not my priority for now...most of them wanaandika vitu ambavyo hawajawahi hata kuvifanya...wanaandika theoretical projects which we did a lot in school...ninachohitaji ni elimu ya upande wa pili (mtaani)...ili niziunganishe na hii formal and I hope ntapata kitu kizuri....thanx btw and karibu kwa ushauri zaidi..nipo flexible kujifunzahongera mkuu,naona umejikoki vizuri,sema naona huna confidence vile,lol,kama ukikosa mentor,please pitia topics humu JF kuhusu biashara unayotaka kufanya,ingia kwenye topics upate mentor wa online,sio lazima awe morogoro mkuu,again hongera kwa kufikiria kujiajiri na sio kuajiriwa kama wengi graduates wanavyofikiri.
Ouuhhhhhhh.....sorry sisy..my badMi Dada bhana, huoni neno pretty hapo
Unajishughulisha na kilimo cha nn mkuuKaribu katika chama la retire young
Poa Dada angu usijaliOuuhhhhhhh.....sorry sisy..my bad
Nimeanza kulima mboga mboga mkuuUnajishughulisha na kilimo cha nn mkuu