Nick Furry
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 182
- 185
That is good too...unaweza kunipa namba yako ya simu?..PM...and izo mega project unafanya katika mifugo au mazao (crops)?...unaweza kunielewesha japo kidogoPatner nipo ila sina diploma wala Shahada. But nafanya mega projects za kilimo na mifugo wilayani kilosa
Thanx mkuuWazo Zuri sana mkuu!! hiyo ndiyo Ajira!!! Perfect idea
Thanx mkuu
Thanks for the advice...taken...and Mungu akubarikiHongera sana ,hujasoma kwa kukariri umeelika.MUNGU atakuwa upande wako usimwache,thibitisha kwa vitendo ubora wa elimu yako.
Kama mahali ulipo unaweza kupata eneo la kuanzisha bustani ya mbogamboga itakufaa sana.Masalia ya kuku ni chakula cha bustani na masalia ya bustani ni chakula cha kuku.Tembelea akina mama wauzaji wa mboga mboga Morogoro sokoni watakujulisha ni aina ipi ya mboga inatakiwa na lini inahitajika zaidi.
Angalia pia uwezekano wa kutuma mboga zako Dar.Kwani gharama ya kusafirisha mzigo kutoka Dar hadi Morogoro ni rahisi na ya uhakika.Sijahama kwenye wazo lako,kuku watazalisha samadi usihangaike pa kuiweka bali ikuzalishie fedha.
Hongera mno kwa matumizi mazuri ya muda na akili.
Amen.Nawe barikiwa.Thanks for the advice...taken...and Mungu akubariki
Thanx broo...i'll do my bestKuwa na mentor ni jambo zuri sana..ts like havin a compass on a mysterious journey yo bout to take,uamuz huo ni mzuri na unamaana kuwa uko tayari kujifunza..but ni namna gani unampata mtu sahihi..apo ndipo watu hukwama na mara nyingine kuona kuwa watu waliofanikiwa hawataki kusaidia..binafsi nina mentor 9 wawil ni marehem ila stl wananimentor,how? Story ndefu sana..wawili sijawai kuonana nao lakini tunawasiliana sana na tano waliobaki nimeonana nao na tunawasiliana..why weng kias hicho??..ts all bout specialization...my point ni kuwa sumtyms w tend to b kooky kwa hawa watu..unakuta mtu anamfata mtu hey naomba uwe mentor wng au naweza na mm kufanikiwa,mwingine nina mtaji kias fulan nifanye biashara gani?? haiendi ivo! sabab ya uchovu leo nitakupa njia moja, DO YO HOMEWORK..maana yake ni kwmb kama ni kuku soma kila kitu kuhus kuku na ikibid vitab vya uyo mtu unaetaman awe mentor wako na almost all dis succeful ppo tunaowa adore wengi ni authors wazuri wa field zao soma yote then apo ata uki muaproach mtu u tell him i read yo book bout this n that on page blahblahblah, i tried to apply on ma own project but nimekwama sehemu hii so nikapata alternative hii na hii apo uyo mtu kwanz atafurah unafatilia harakati zake but pia atakuona yo ambitious n doer..n i promic u hato kuacha salama..good luck!!
Sijakuelewa unamaanisha nn mkuu...kwenye uzi uzi wangu nimesema natafuta mentor (sina neno zuri la kiswahili la mentor)...sijaandika jinsi ya kutafuta mentor...ni mm ndiye ninayetafuta mentorDah we mtu wa ajabu kweli unatafuta mentor afu kwenye uzi wako unatufundisha namna ya kumpa huyo mentor...
Kwanini usitumie hiyo njia uliyofundisha hapo juu kumpata huyo mentor wako
Uniwie ladhi Sana mkuu nilipofungua uzi post iliyo kuja Mwanzo ni ya mkuu the list. Nikajua Ndio wewe baada ya kuulizia mentor umeanza Kwa kusema kuwa na mentor ni jambo la muhimu and unaeleza namna ya kumpata..Sijakuelewa unamaanisha nn mkuu...kwenye uzi uzi wangu nimesema natafuta mentor (sina neno zuri la kiswahili la mentor)...sijaandika jinsi ya kutafuta mentor...ni mm ndiye ninayetafuta mentor