Natafuta Brevis A250, kwa 8mil

Natafuta Brevis A250, kwa 8mil

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,795
Wazee habari. Nataka kununua Brevis yenye namba D, isiwe nyeupe na haijawahi pata ajali yoyote. Kama kuna mwenye nayo anifahamishe. Bei isizidi 8,000,000/=
 
Wazee habari, nina 8,000,000/=. Nataka kununua Brevis yenye namba D, isiwe nyeupe. Kama kuna mwenye nayo anifahamishe.

Mkuu ipo namba CZA mil 8.5 kama unaitaka kweli njoo pm
 
Mkuu ipo namba CZA mil 8.5 kama unaitaka kweli njoo pm
Nimeachaga Long time kwenda PM. Hitaji ni Brevis yenye namba D, isiwe nyeupe na haijawahi pata ajali yoyote
 
Aisee depreciation value hadi 8mil ngumu kupata
 
Aisee depreciation value hadi 8mil ngumu kupata
Watakuja tu. Ngoja Benk na Baba mwenye nyumba waanza kudai chao. Wenyewe watanitafuta. No shaka, Cash is King..
 
ha ha ha 8M namba D/ hata namba D ya passo hupati kwa bei hiyo..tumia akili sio jeuri
It is just a matter of time, nyingi zimepakiwa baada ya magufuli kuwachomoa kwenye madili. Am Serious.
 
ha ha ha 8M namba D/ hata namba D ya passo hupati kwa bei hiyo..tumia akili sio jeuri
Passo sasa hivi za mkononi zenye nmba D hazizidi 4mil. Ukiuziwa zaid ya hapo umepigwa
 
HAKUNA Mnunuzi Hapo!! MTEJA Wenyewe Nyodo Kibao, Huku Pesa Yenyewe Ni Ya Mawazo!!! BEI Ya Million 8 Na Conditions Hizo, Labda Aende Showroom Tu!!! Au Aagize Wenyewe Toka Japan!!
 
Zipo kibao. Is just a matter of time.
hii gari inaendana na million 8 hii?!
Toyota_Brevis.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom