Natafuta Boyfriend seriously

sasa dini inahusiana nini na uzinzi wako??? wewe shida yako si kuzini yaani upate boyfriend ili mzini right,, ingekuwa mchumba sawa dini muhimu lakini zinaa aka uzinzi dini hapo kigezo umechemka dada angu

Jamani uboifrendi si ndo huleta ndoa baadae?
 
Unatangaza ngazi ya elimu kwani unataka kumuajiri?....MAPENZI NI UPOFU..
 
Ahaa vp vyet vya chuo natma kwa njia gani, au n scana au fax maan celew
 



Mimi napita tu naelekea Msikitini, Hujambo lakini dada Mammy22?
 

true love ask for nothing
 
watu8 una lako jambo,si bure.......ukiendelea ntakusemea kwa.........

Hahaha mkuu mie ni mmoja wa mabawabu wa JF....sasa katika pitapita zangu si ndio nimekutana na huyu mgeni niliyemkaribisha muda si mrefu...
Huo ulikuwa ni ushauri tu kwake maana naona kamwaga sifa lukuki za mtu amtakaye halafu kasahau kuziweka na zake...watu hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia kaka mkubwa
 
 
Mimi sifa zooote ulizotaja sina, ila NINA URITHI WA BAKORA YA BABUUU tuuuu vp utanifikiria
 
sifa zote ninazo hutojutia kunipata. nitext namba yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…