Natafuta Boyfriend seriously

Natafuta Boyfriend seriously

Hapo kwelnye elimu inahitajika clarification maana elimu ya chuo inaweza kuwa chuo kikuu, taasisi za elimu za juu, chuo cha VETA, au vyuo vya diploma au certificate, embu clarify ili kupunguza jam ya wewe kufanya sorting
 
Ahahaha haya tena naona ungeweka kabisa vyeti vyako hapa na picha mana hii biashara ngumu bwana
kama mbuzi kwenye gunia hivi
 
Natafuta Boyfriend, ambaye yuko single now,mrefu kiasi, mweupe, mweusi au maji ya kunde, Mkristo, Catholic, Lutheran au Sabato, awe ana umri wa miaka 28 hadi 45, kutoka mikoa ya kaskazini or mikoa ya kati ya Tanzania, nje ya tanzania or nje ya Afrika, mcheshi,mchangamfu, mchapakazi, mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha, elimu ya Chuo, mwenye heshima kwa watu, anayeheshimu Wanawake, asiwe mgomvi, asiwe muongo kupitiliza, nasema kupitiliza cause naamini kuna baadhi ya vitu anaweza kunidanganya kidogo sometimes ili niwe cool, asiwe mnywaji wa pombe kupita kiasi, I mean mlevi, asiwe anavuta sigara, awe serious kwenye uhusiano, asiwe msikiliza maneno ya watu sana, watu wachonganishi wa mahusiano ya watu, cause Mi sina tabia hiyo na siipendi, umri wangu ni miaka 27, natokea Kilimanjaro.

I hope nitampata hapa Jf, Good day!

Just niPM.

sasa dini inahusiana nini na uzinzi wako??? wewe shida yako si kuzini yaani upate boyfriend ili mzini right,, ingekuwa mchumba sawa dini muhimu lakini zinaa aka uzinzi dini hapo kigezo umechemka dada angu
 
natuma application kwako Mammy22! sijui tutakuwa wangapi maana nataka nijiandae kwa interview!
 
Natafuta Boyfriend, ambaye yuko single now,mrefu kiasi, mweupe, mweusi au maji ya kunde, Mkristo, Catholic, Lutheran au Sabato, awe ana umri wa miaka 28 hadi 45, kutoka mikoa ya kaskazini or mikoa ya kati ya Tanzania, nje ya tanzania or nje ya Afrika, mcheshi,mchangamfu, mchapakazi, mwenye mtazamo chanya kuhusu maisha, elimu ya Chuo, mwenye heshima kwa watu, anayeheshimu Wanawake, asiwe mgomvi, asiwe muongo kupitiliza, nasema kupitiliza cause naamini kuna baadhi ya vitu anaweza kunidanganya kidogo sometimes ili niwe cool, asiwe mnywaji wa pombe kupita kiasi, I mean mlevi, asiwe anavuta sigara, awe serious kwenye uhusiano, asiwe msikiliza maneno ya watu sana, watu wachonganishi wa mahusiano ya watu, cause Mi sina tabia hiyo na siipendi, umri wangu ni miaka 27, natokea Kilimanjaro.

I hope nitampata hapa Jf, Good day!

Just niPM.
Mshahara pls
 
Naomba uni pm, kwani kuna sifa zote ninazo. Ila ucwe mweusi sana au mwenye michiriz kwenye mapaja
 
Weka picha? Ama una sura mbayaaaaaaaaa? Weka picha binti tuone mgongo .
 
Usijali...ila nawe ungeliweka sifa zako chache kama elimu, muonekano n.k ili kurahisisha ombi lako...

watu8 una lako jambo,si bure.......ukiendelea ntakusemea kwa.........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom