Natafuta Boyfriend aliye serious

Em in my late 28 vip siqualify japo ni mrefu sana.
 
Ndoa nyingi za siku hizi zinadumu kwa siku 3 kwa sababu ya mambo kama haya.
You select!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndoa nyingi za siku hizi zinadumu kwa siku 3 kwa sababu ya mambo kama haya.
You select!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hakuna anayekuwa na mtu kwenye mahusiano bila kuselect, kuwa na sababu za kumfanya awe na yeye na si mwengine, ingekuwa watu hawaselect, tungekuwa tunafanya ana ana do( kubahatisha) basi hizo ndoa ndio zingekuwa za 3 mins kabisa. Hata parents wako walikuwa na vigezo vya kuwafanya wawe pamoja.
 

weka picha kwanza nikuone alafu ndio nije kufanya mtihani
 
Hizo sifa kiboko, kujishaua ni kufanyeje?

Sijui hata nikuelezeeje, lakini wazungumzaji wa kiswahili wanaelewa, yaani sipendi mtu anayetafuta attention ya watu kwa kujishow off, kubwatukabwatua, kujifanya yuko juu, kujikweza na kuwaletea wengine majigambo, eg. wahudumu wa migahawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…