Robin Van Mysterio Senior Member Joined Jul 24, 2014 Posts 102 Reaction score 15 Aug 17, 2014 #21 daah ngoja nkaifue boxer yangu nije nikuuzie...
peri JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,579 Reaction score 1,168 Aug 17, 2014 #22 Ipo boxer no CUZ ina miezi 3, nipe million 1.8 nikuachie. Hiana tatizo lolote.
hyusuph JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,655 Reaction score 693 Aug 17, 2014 #23 FRANCIS DA DON said: Mwenye hiyo pikipiki used (Isizidi mwaka) aniambie kama naweza kuinunua kwa 1.5M. Nahitaji sana kwa sasa.. Click to expand... Mbona waweza pata mpya kabisa hata kwa 1.6m tuu
FRANCIS DA DON said: Mwenye hiyo pikipiki used (Isizidi mwaka) aniambie kama naweza kuinunua kwa 1.5M. Nahitaji sana kwa sasa.. Click to expand... Mbona waweza pata mpya kabisa hata kwa 1.6m tuu
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,801 Reaction score 46,925 Aug 18, 2014 Thread starter #24 hyusuph said: Mbona waweza pata mpya kabisa hata kwa 1.6m tuu Click to expand... 1.6M.., ni ya wizi au.., niambie hilo duka lipo wapi niende fasta..!
hyusuph said: Mbona waweza pata mpya kabisa hata kwa 1.6m tuu Click to expand... 1.6M.., ni ya wizi au.., niambie hilo duka lipo wapi niende fasta..!
hyusuph JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,655 Reaction score 693 Aug 18, 2014 #25 FRANCIS DA DON said: 1.6M.., ni ya wizi au.., niambie hilo duka lipo wapi niende fasta..! Click to expand... Alaa kumbe ya boxer mi nilidhan Pikipiki yoyote tuu heading yko haiko vzr
FRANCIS DA DON said: 1.6M.., ni ya wizi au.., niambie hilo duka lipo wapi niende fasta..! Click to expand... Alaa kumbe ya boxer mi nilidhan Pikipiki yoyote tuu heading yko haiko vzr
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,291 Aug 18, 2014 #26 miss chagga said: Mkuu nikajua unatafuta chipu Click to expand... Hahaha I kyk it.