Natafuta Boxer BM 150

Natafuta Boxer BM 150

Alure

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
1,100
Reaction score
1,054
Natafuta boxer BM 150,bajeti yangu laki 5
isiwe ya wizi au ilishapata ajali
mwaka iliyoingiwa kuzingatiwa
 
Natafuta boxer BM 150,bajeti yangu laki 5
isiwe ya wizi au ilishapata ajali
mwaka iliyoingiwa kuzingatiwa

Masharti yote hayo mkononi una laki5, nenda Police Central zipo za deal nyingi, kaongee na afande mmoja
 
vp wakuu haiwez kupatikana kwa bei hyo,mbna naona ipo humu moja ya laki nane,mi si nimepunguza laki 3 tu
 
Kwanza unaitaka kwa kz km benki siku hizi haziruhusiwi wewe ya nini na kwa nini iwe boxer tu
 
Back
Top Bottom