Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,659 Reaction score 11,739 Mar 4, 2021 #1 Habari ya asubuhi wadau. Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi. Naambatanisha picha za aina ya boti ninayotaka.
Habari ya asubuhi wadau. Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi. Naambatanisha picha za aina ya boti ninayotaka.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,376 Reaction score 138,015 Mar 6, 2021 #2 Nenda ferry kuna garage wanashulika masuala Ya maboti pia nenda sleap way sehemu mbili Unaweza pata connection Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nenda ferry kuna garage wanashulika masuala Ya maboti pia nenda sleap way sehemu mbili Unaweza pata connection Ova Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,622 Reaction score 167,458 Mar 6, 2021 #3 Hebu cheki na Songoro Marine, ila angalia wasije kukupiga Bei wanazoipiga CCM