sio lazima kuchangia kila post... tunajua upo JF na unajua kusoma na kuandika. Kumbuka Comment ya muelevu ni tiba kwa mjinga.... Asanteyaani mijitu mingine banah kama mi 'mbebez' tu! Huo ni unaume suruali you know!!...mwanaume halisi ananunua vitu halisi dukani!..tatizo miafrika mivivu na mimaskini ya kutupwa!
Hapo utakuta umedhulumu hela za ulithi ndo unazitumbua tuh!
lutambi unamajibu yabusara sana yani mm teyal nilishapanik nikashika upanga kawajibu ulio mjibu huyo bwana mungu akubaliki sana akushie neme ndogondogo nmakubwa pia kiongoz
yaani mijitu mingine banah kama mi 'mbebez' tu! Huo ni unaume suruali you know!!...mwanaume halisi ananunua vitu halisi dukani!..tatizo miafrika mivivu na mimaskini ya kutupwa!
Hapo utakuta umedhulumu hela za ulithi ndo unazitumbua tuh!
Somo linaashiria nahitaji kununua bodaboda kwa ajili ya biashara. Iwe SANLG, TBETTER,TOYO 150CC hata kama aina nyingine nishawi nitaichukua. Isizidi miezi 6 toka isajiliwe kufanya biashara. Nazihitaji fasta hata zikiwa 3 poa tu. Nipo Dar 0715719171 bajeti ni maelewano.
Mimi niko nazo 3 ziko dar!
No zake ni CEC, CDX, na CNH aina ya FEKON
NI PM TUONE TUNAFANYA NINI!
yaani mijitu mingine banah kama mi 'mbebez' tu! Huo ni unaume suruali you know!!...mwanaume halisi ananunua vitu halisi dukani!..tatizo miafrika mivivu na mimaskini ya kutupwa!
Hapo utakuta umedhulumu hela za ulithi ndo unazitumbua tuh!
hii kitu imenizibua ubongo wangu du!:bange:yaani mijitu mingine banah kama mi 'mbebez' tu! Huo ni unaume suruali you know!!...mwanaume halisi ananunua vitu halisi dukani!..tatizo miafrika mivivu na mimaskini ya kutupwa!
Hapo utakuta umedhulumu hela za ulithi ndo unazitumbua tuh!
yaani mijitu mingine banah kama mi 'mbebez' tu! Huo ni unaume suruali you know!!...mwanaume halisi ananunua vitu halisi dukani!..tatizo miafrika mivivu na mimaskini ya kutupwa!
Hapo utakuta umedhulumu hela za ulithi ndo unazitumbua tuh!
Somo linaashiria nahitaji kununua bodaboda kwa ajili ya biashara. Iwe SANLG, TBETTER,TOYO 150CC hata kama aina nyingine nishawi nitaichukua. Isizidi miezi 6 toka isajiliwe kufanya biashara. Nazihitaji fasta hata zikiwa 3 poa tu. Nipo Dar 0715719171 bajeti ni maelewano.
Offer yako inaanzia ngapi?
Nenda china
una muda nayo gan..! Upo wap! Bei gan! Namba ipi! ... Nipo serious utani kando kidogoLete nikupe Sekona 125 ck
nimesema ni maelewano kulingana na hali ya chombo chenyewe. Kisizid milion 1.1