Kaka Adsense Account Huwa haziruhusiwi Kuuzwa kwa vile huwezi badili jina kwenye Payment ..hivyo ni bora kuapply na kuanza mwanzo kabisa ili jina lako liwe kwenye form of payment ..
Kama utapata shida mcheki huyu mtaalamu huwa anawatengenezea watu adsense account kuanzia mwanzo mpaka anakukabidhi ndani ya siku tano ...0714604974
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.