Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,512 Reaction score 2,508 Apr 21, 2016 #1 Hello wadau; Kama kuna mdau anaweza pata binzari kavu kuanzia tani 500, sio iliosagwa, naomba tuwasiliane kwa pm kwanza. Kiingereza inaitwa dry turmeric fingers. Kuna soko nimelipata nje linahitaji supply kubwa zaidi. Asanteni
Hello wadau; Kama kuna mdau anaweza pata binzari kavu kuanzia tani 500, sio iliosagwa, naomba tuwasiliane kwa pm kwanza. Kiingereza inaitwa dry turmeric fingers. Kuna soko nimelipata nje linahitaji supply kubwa zaidi. Asanteni