NATAFUTA BINTI WA KAZI ZA NDANI

NATAFUTA BINTI WA KAZI ZA NDANI

moodchapter

Member
Joined
Jun 28, 2020
Posts
18
Reaction score
5
Habari zenu wakuu, nipo musoma mjini natafuta binti wa kazi za ndani
VIGEZO.
-Awe anajua kusoma na kuandika vizuri
-Awe anajielewa
-Awe na tabia njema
-Awe anatokea mikoa jirani(Mwanza,Shinyanga au hapa Musoma)
Kwa alie tayari anitafute 0764094582
 
Mambinti ni changamoto.jaribu utafutiwe na ndugu zako mtu wanaemjua.

Kuna mama anaetupikia chakula ofisini. Alimlete mama fulani binti wa kazi. Binti alifanya kazi vizuri tu .baada ya wiki mbili boss wake akiwa kazini huyo binti akapiga kioo kie kinachokuwa jua ya mlango akaweka ngazi akadumbukia chumbani kwa boss wake.
Aliiba 150000 cash, akachukuwa na nguo akasepa.
Mara police wakaja kumkamata mmama aliemleta binti wa kazi wakamweka ndani.

Mama alieibiwa akawambia kuwa dada wa kazi kaiba 150000 na nguo zenye thamani ya mil2. Mmmh hspa tuhajiuliza kweli hizo nguo ni za 2mil?

Muda huo wote yule alomleta yupo lockup. Siku ya tatu ndugu wakaja mtoa kwa dhamana.

Akaomba alipe 150000 na atengeneze kulikobomolewa akakataa kwamba anataka alipwe vyote na zile nguo zilizoibiwa.

Mwizi hajulikani aliko hata nyumbani kwao hakurudi.
Kuwa makini mleta mada.hawa wadada sio.
 
Aisee!
Huyo mama aliyeibiwa hana utu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom