GENTLEMAN S
Member
- Feb 19, 2014
- 47
- 8
Habari zenu?
Nina imani kuna wadada wa kutosha humu na wakaka pia mwaweza kunipatia dada zenu..
..ninahitaji binti mmoja tu anayejitambua na kujiamini..
Nimeshajipanga kimaisha na namuhaidi atakaejitokeza kuja kua mke wangu..
..awe anajipenda na msafi,
umbo lolote..
Umri 24-32
elimu yoyote asipokua na kazi nitamsaidia,
karibuni tuwasiliane kwa PM
ha haa mke mwema hapatikan kwa njia hyo! funga,sali na muombe mungua akuonyeshe
anyway labda anaweza kuwepo hum jf
Wewe mwenyewe hujitambui !! Mbaya zaidi ni kuwa hujui kuwa hujitambui lol
daah bahati za mtende izo...mie niko mwaya...ni msafi na ninajitambua...sipend kuhngwa ila ukinipa sitakataa
Naomba unitake radhi kwa kunusingizia kuwa nina mtu.....Sipendi kuchukua mali ya mtu,angalia uliyenaye afaa kua mume bora pengine zaidi yangu,
Naomba unitake radhi kwa kunusingizia kuwa nina mtu.....
Teh mbona umefurahi hivo?ahahahhahaahahhahahahahaahahhahahahaha
Wewe mwenyewe hujitambui !! Mbaya zaidi ni kuwa hujui kuwa hujitambui lol
Naomba unitake radhi kwa kunusingizia kuwa nina mtu.....
Unapatikana wapi dia huzband material?