kutwamara3 Senior Member Joined Jul 16, 2013 Posts 170 Reaction score 27 Jul 16, 2013 #1 Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM
Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM
M Masoud Mwakoba Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 129 Reaction score 19 Jul 16, 2013 #2 kutwamara3 said: Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM Click to expand... Kuna kitu hapo,si bure
kutwamara3 said: Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM Click to expand... Kuna kitu hapo,si bure
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Jul 16, 2013 #3 kutwamara3 said: Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM Click to expand... Kwa nini aliyefeli, ili umnyanyase? unaogopa binti msomi? Una matatizo ya problem
kutwamara3 said: Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM Click to expand... Kwa nini aliyefeli, ili umnyanyase? unaogopa binti msomi? Una matatizo ya problem
kutwamara3 Senior Member Joined Jul 16, 2013 Posts 170 Reaction score 27 Jul 16, 2013 Thread starter #4 Sio hvyo nataka kumsaidia,Najua mwaka huu majanga.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 16, 2013 #5 Mmmh masharti ya mganga
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,998 Jul 16, 2013 #6 Nipo tena umenipata. Nilifeli fomu foo mwaka 1990. Tuwasiliane pulizi. Asante...
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Jul 16, 2013 #7 Hivi ni vituko jeiefuuu....
Dr.Mo JF-Expert Member Joined Mar 28, 2012 Posts 3,809 Reaction score 1,655 Jul 16, 2013 #8 Mzee nimeipenda hiyo...
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,590 Reaction score 3,530 Jul 16, 2013 #9 kutwamara3 said: Sio hvyo nataka kumsaidia,Najua mwaka huu majanga. Click to expand... Kwa nini usiwasaidie watoto wa mtaani ambao hata shule ya msingi hawajamaliza kwa sababu ya kukosa ada na matumizi mengine ya shule.
kutwamara3 said: Sio hvyo nataka kumsaidia,Najua mwaka huu majanga. Click to expand... Kwa nini usiwasaidie watoto wa mtaani ambao hata shule ya msingi hawajamaliza kwa sababu ya kukosa ada na matumizi mengine ya shule.