mafuta ya rays, mafuta ya chips acha kabisa
mafuta ya rays kitambo sijayaona yalikuwa na rangi nyingi utakuta ya kijani,njano nk
Mafuta ya Kimbo ya kupikia,sema blue band zipo wamebadilisha vifungio tuu mengine hapo havipo tena.
Aaah wapi..Blue Band ya leo wachina wameshaingilia kati. Haina ladha kabisa.Mafuta ya Kimbo ya kupikia,sema blue band zipo wamebadilisha vifungio tuu mengine hapo havipo tena.
Kweli taste ya blue band ile ni tofauti ila this is 2015 lazima ladha ibadilike.:juggle:Aaah wapi..Blue Band ya leo wachina wameshaingilia kati. Haina ladha kabisa.
Ni kweli kila kitu kina ladha ya 2015 2015...Kweli taste ya blue band ile ni tofauti ila this is 2015 lazima ladha ibadilike.:juggle:
Mafuta ya Kimbo ya kupikia,sema blue band zipo wamebadilisha vifungio tuu mengine hapo havipo tena.
Hahaha umetaja Tan Bond hiyo made in Tanzania Tutamuuliza Zito na kamati yake apitie lipo au halipo?Cow boy ipo imefunganywa tofauti. Plastic km Kimbo, nazo zipo bado.
TanBond.
Kuna wakati ilijaribu kushinda na Blue Band ila ilipoteza pambano (au labda vita nzima ya 'margarine')! Siku hizi ina harufu mbaya sn. Ilikua poa kwenye uji wa ulezi.
Hahaha umetaja Tan Bond hiyo made in Tanzania Tutamuuliza Zito na kamati yake apitie lipo au halipo?
vipo maduka ya ushirika