Nina uhitaji wa household design items na interior items ambazo zinapatikana kwa nchi za kiafrika tu.
Ziwe zisiwe zinapatikana nchi za ulaya kuna mtu yupo nje anahitaji kwaajili ya biashara.
Kama unafanya biashara hii au kuna mtu anayefanya biashara hii unamfahamu niunganishe naye.
Unaweza kuwasiliana namimi kupitia PM au nitumie picha za hizo bidhaa kupitia email hii:tonyhaule@hotmail.com