Strictly Syrup JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 1,227 Reaction score 1,821 Aug 5, 2015 #1 Habari ndugu zangu, natafuta battery ya iPhone 4s. Ya kwangu haikai na chaji sana. Yeyote anayeweza kuwa anauza battery mpya ya iPhone anapm.
Habari ndugu zangu, natafuta battery ya iPhone 4s. Ya kwangu haikai na chaji sana. Yeyote anayeweza kuwa anauza battery mpya ya iPhone anapm.
nexus JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 374 Reaction score 164 Sep 16, 2017 #2 Warrior said: Habari ndugu zangu, natafuta battery ya iPhone 4s. Ya kwangu haikai na chaji sana. Yeyote anayeweza kuwa anauza battery mpya ya iPhone anapm. Click to expand... Ninayo
Warrior said: Habari ndugu zangu, natafuta battery ya iPhone 4s. Ya kwangu haikai na chaji sana. Yeyote anayeweza kuwa anauza battery mpya ya iPhone anapm. Click to expand... Ninayo
kazikaz Member Joined Oct 8, 2016 Posts 39 Reaction score 31 Sep 16, 2017 #3 Iyo cm nizilipendwa kaweke kwenye dustbin
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Sep 16, 2017 #4 Njoo nikuuzie 5s ina crack kidogo kwenye speaker. Hiyo apple smeacha zipa support soon hata whatsapp na apps nyingine zitabaki historia
Njoo nikuuzie 5s ina crack kidogo kwenye speaker. Hiyo apple smeacha zipa support soon hata whatsapp na apps nyingine zitabaki historia
nexus JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 374 Reaction score 164 Sep 16, 2017 #5 elmagnifico said: Njoo nikuuzie 5s ina crack kidogo kwenye speaker. Hiyo apple smeacha zipa support soon hata whatsapp na apps nyingine zitabaki historia Click to expand... Bei gani
elmagnifico said: Njoo nikuuzie 5s ina crack kidogo kwenye speaker. Hiyo apple smeacha zipa support soon hata whatsapp na apps nyingine zitabaki historia Click to expand... Bei gani
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Sep 16, 2017 #6 nexus said: Bei gani Click to expand... 300