N Nameless- Member Joined May 21, 2009 Posts 47 Reaction score 1 Jun 26, 2009 #1 Salamu wana JF Naweza kupata wapi Bata Bukini (Goose) jijini Dar?
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Jun 26, 2009 #2 Nenda pale Sinza karibu na shule ya msingi Mugabe,kuna jamaa anauza ndege jamii tofautitofauti isipokuwa kuku, kibanda chake kipo kando ya barabara. Naamini atakusaidia
Nenda pale Sinza karibu na shule ya msingi Mugabe,kuna jamaa anauza ndege jamii tofautitofauti isipokuwa kuku, kibanda chake kipo kando ya barabara. Naamini atakusaidia
R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,775 Reaction score 230 Jun 26, 2009 #3 Nameless- said: Salamu wana JF Naweza kupata wapi Bata Bukini (Goose) jijini Dar? Click to expand... Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol!
Nameless- said: Salamu wana JF Naweza kupata wapi Bata Bukini (Goose) jijini Dar? Click to expand... Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol!
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Jun 26, 2009 #4 Rwabugiri said: Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol! Click to expand... Itapendeza kama ameagizwa na Gagula kutafuta maliasili kama hiyo kuliko angemwambia alete kichwa cha albino au afanye.... na mtoto wa miezi 2 Kama uko Dar hebu jaribu kwenda kule Kigamboni hotel ya Sunrise unaweza kupata
Rwabugiri said: Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol! Click to expand... Itapendeza kama ameagizwa na Gagula kutafuta maliasili kama hiyo kuliko angemwambia alete kichwa cha albino au afanye.... na mtoto wa miezi 2 Kama uko Dar hebu jaribu kwenda kule Kigamboni hotel ya Sunrise unaweza kupata
N Nameless- Member Joined May 21, 2009 Posts 47 Reaction score 1 Jun 30, 2009 Thread starter #5 Teh Teh Teh! Kama masharti yanatimizika na hayana madhara kwa kiumbe binadamu, ni poa tu mbona?
M MAWERE JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 448 Reaction score 54 Apr 15, 2014 #6 please nahitaji wa kufuga...
Gvampa Senior Member Joined Dec 21, 2011 Posts 100 Reaction score 13 Apr 15, 2014 #7 Nenda Makumbusho Kijitonyama kuna banda pale nimewaona juzi kati.
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Apr 15, 2014 #8 Mkuu kama unaconection na mtu yoyote kenya hasa mombasa chek nao..kuke bei poa na wako wengi..mimi natoa huko kwa bei ya ahueni
Mkuu kama unaconection na mtu yoyote kenya hasa mombasa chek nao..kuke bei poa na wako wengi..mimi natoa huko kwa bei ya ahueni
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Apr 15, 2014 #9 Hapa wanauzwa mpaka lak 250 wakati kule nilipata 4 kwa laki 280
mwajum Member Joined Feb 26, 2014 Posts 40 Reaction score 10 Apr 20, 2014 #10 Rwabugiri said: Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol! Click to expand... hahaa Gagula mwenyewe anaogopa hii kitu maana ni shida atamwaaibisha
Rwabugiri said: Duu, huyo unamtafuta hadi unamtangaza JF, kakuagiza gagula nini? si unajua hao huwa masharti yao yanazidi ya IMF? lol! Click to expand... hahaa Gagula mwenyewe anaogopa hii kitu maana ni shida atamwaaibisha
M MAWERE JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 448 Reaction score 54 May 5, 2014 #11 Mkuu nashukuru ungenipa namba yako mkuu...0754302768 kwa bei gan kaka
R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,775 Reaction score 230 May 12, 2014 #12 robbert said: Gagula nini? Click to expand... Wale wanaofanya kazi kama ya yule mheshimiwa mbunge Profesa Majimarefu.
robbert said: Gagula nini? Click to expand... Wale wanaofanya kazi kama ya yule mheshimiwa mbunge Profesa Majimarefu.
mwajum Member Joined Feb 26, 2014 Posts 40 Reaction score 10 Sep 2, 2014 #13 robbert said: ninao sasa tena wakubwa sana 0763268077 Click to expand... wacha ntakucheki
noel2512 Member Joined Feb 26, 2015 Posts 80 Reaction score 14 May 17, 2015 #14 Kaka bado tunakufuatilia na hii nyuzi, vipi maendeleo ya bata bukini wanalipa kwa sasa? Na tufahamishe utagaji wao upoje pia ni mzuri? Asante..
Kaka bado tunakufuatilia na hii nyuzi, vipi maendeleo ya bata bukini wanalipa kwa sasa? Na tufahamishe utagaji wao upoje pia ni mzuri? Asante..
M MAWERE JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 448 Reaction score 54 May 17, 2015 #15 Ninao ninao bata mzinga piga 0754302768.ninao 50 funguka
U uswayn sule Member Joined Jun 9, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Jul 25, 2015 #16 MAWERE said: Ninao ninao bata mzinga piga 0754302768.ninao 50 funguka Click to expand... Nina bata bukini wakubwa wenye kutaga sasa
MAWERE said: Ninao ninao bata mzinga piga 0754302768.ninao 50 funguka Click to expand... Nina bata bukini wakubwa wenye kutaga sasa
U uswayn sule Member Joined Jun 9, 2015 Posts 9 Reaction score 1 Jul 25, 2015 #17 Nina bata bukini wakubwa wenye kutaga sasa. 0653749790