Natafuta barbed wire na nguzo za chuma

Natafuta barbed wire na nguzo za chuma

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Wana-JF,
Mimi niko Dar,
Natafuta fencing wire na nguzo za chuma kwa ajili ya kutengeneza fensi.
Wana-JF, naomba mnielekeze wapi nitapata mahitaji haya...

Naweka picha za mahitaji yangu.

Barbed fencing wire..

Barbed_Wire,_SC,_Victoria,_15.9.2007.jpg

......................................

Nguzo za chuma..

tn_20m%20Dome%20025.jpg
 
upo wap? kama upo mitaa ya kibaha kwenda miembe saba, niambie nikupe mtu atakaekuleta.
 
upo wap? kama upo mitaa ya kibaha kwenda miembe saba, niambie nikupe mtu atakaekuleta.

Asante mkuu.
Mimi niko Dar es Salaam, ila nahitaji hizo wire na poles kwa ajili ya shughuli za shambani huko Ruvu.
Hivyo naomba mawasiliano yako ili tuongee.
Nimekutumia PM.
 
Asante mkuu.
Mimi niko Dar es Salaam, ila nahitaji hizo wire na poles kwa ajili ya shughuli za shambani huko Ruvu.
Hivyo naomba mawasiliano yako ili tuongee.
Nimekutumia PM.

nimekujibu mkuu
 
Kwa habari ya nguzo za chuma nadhani ukienda Kariakoo mtaa wa Gerezani utapata kila sampuli na hata ukihitaji wakutengenezee design uitakayo...

Nyaya hizo za miiba utazipata kwenye hardware stores mkuu...
 
Back
Top Bottom