We miss natafuta utuambie kama unakusanya questionnaire humu...bado hujapata...???na kama hujapata kwa niniNatafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.
Usiwe umepeana talaka na mkeo.
Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki.
Uwe mtu mzima mwenye kujitambua.
Uwe unaishi DSM mahusiano ya mbalimbali sitaki kama kawaida hakuna.
Kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto.
Ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka uwe tayari kupima ngoma sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
Email missnatafuta2017@gmail.com
Mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
kama umeoa unatakaje tena mkuu?Miss Natafuta.
CV: Miaka 42
Nina nyumba 2 Moja dar nyingine Iringa.
Elimu:: shahada
Kazi: civil servant
Marital: married
Watoto: watatu
sijapata kwa sababu sijapataWe miss natafuta utuambie kama unakusanya questionnaire humu...bado hujapata...???na kama hujapata kwa nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majibu ndyo yanayokufanya ukose mumesijapata kwa sababu sijapata
kila mtu na uchaguzi wakeYaani wewe ndio unatafuta mume ila masharti kama mganga mpaka na expire date???? Saa si ni bora ukae tu single. Halafu unasema awe hajatalikiana, wewe hijawahi kuwa na uhusiano na kuachana na x?? Ama waliotalikiana wako na alama fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kweli kwamba uko msupuu sana hadi unaringa hivo??kila mtu na uchaguzi wake
37 years old, 1 year less to fulfill the conditionNatafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.
Usiwe umepeana talaka na mkeo.
Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki.
Uwe mtu mzima mwenye kujitambua.
Uwe unaishi DSM mahusiano ya mbalimbali sitaki kama kawaida hakuna.
Kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto.
Ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka uwe tayari kupima ngoma sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
Email missnatafuta2017@gmail.com
Mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
What if na mimi ukakutana na email yangu ya maombi utaisoma kweli?? Au ndiyo utaipeleka spam..![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]atakaekuwa wa kwanza kunitafuta nitamfikiria zaidi labda tushindwane tu ndo nitatafuta mwingine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]atakaekuwa wa kwanza kunitafuta nitamfikiria zaidi labda tushindwane tu ndo nitatafuta mwingine
Ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwamiss natafuta kwaubora wako na ulivyo maaruf sasa hv utapata! kwa umri tu nmekupenda' fijana fisumbufu' sana !
Duuuuuu!!!!! Kazi kweli kweli , pitia profile za jf members utakae muona anafaaaa mPMNatafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.