kizeze
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 346
- 361
Habari
Nahitaji kuku wa mayai (wanaotaga au waliomaliza kutaga) kwa bei ya sh.9000
Nahitaji kama kuku 700
Hata kama unao kuku 100 au unajua kuna mahala wanauza naomba nijulishe
Hii biashara ni endelevu kwani hao kuku kila wiki nakuja kuwachukua
Kama unao tuwasiliane in box