Natafuta asali kwa ajili ya biashara

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Habarini wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa anayejuana na wakulima wa asali tafadhali naomba aniunganishe nao, nataka asali ya kununua kwa ajili ya biashara
 
Habarini wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa anayejuana na wakulima wa asali tafadhali naomba aniunganishe nao, nataka asali ya kununua kwa ajili ya biashara
Nina asali Kutoka tabora dumu za Lita ishirini zipo 25. Nicheki 0689315582
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…