MZALENDO NO.1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 302
- 134
Nimetafuta kila kona sijazipata, Mimi naomba apk[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] pakua blackmart utazipata
Supertipsman Special VIP APK 1.0Nimetafuta kila kona sijazipata, Mimi naomba apk
Huko kote nimepita lakini jinsi ya kudownload na kuinstall ndo shida, download unitumie APK ikiwa peke yake, Mimi ni install tu
Maji yapo wewe nisaidie hatuwezi kushindwanaDuuh pole jamani mi kama una ya maji nakuelekeza unaanza kula vitu vya playstore vile vyote vya kulipia unapata bure
Download install kwako, ikikubali nijulishe
kama yapo basi njoo pm tuyajengeMaji yapo wewe nisaidie hatuwezi kushindwana
Okey poakama yapo basi njoo pm tuyajenge
Mimi sio mdau betting kama imeshindikana kwaheri!?Huko kote nimepita lakini jinsi ya kudownload na kuinstall ndo shida, download unitumie APK ikiwa peke yake, Mimi ni install tu
Mkuu haina hebu jaribu kupakua wewe uone kama itakubali.Downloa app ya GETAPK MARKET utazipata
Jaribu kudownload kama ipo, ikikubali itakuwa vyema ukitujulisha ili kufurahia ushindiDownloa app ya GETAPK MARKET utazipata
Nimedownload Getapp ila hazifanyi kaziWazee watechnologia vipiiiiiii? Msiniangushe bhana plz and plz fanyeni makeke
Aptoide, blackmart, n.k zote nimejaribu hamna kitu. Siku hv paid app for free Naona wamedhibiti mno hazipatikaniNimedownload Getapp ila hazifanyi kazi
Yaani kona zote hizo nimepita, nimegonga mwamba ndo maana nikaomba msaadaWe jamaa mvivu sana kila ushauri unaopewa unataka mtu aanze kujaribu yeye ikikubali ndo uambiwe..yani uvivu huo sidhan kama utapata hizo kitu..yani tech haitaki type ya watu wavivu ivooo..pambana acha kutaka taka tuuu yani uafuniwe hadi umezewe we ujikute tu Tumboni umeshibaaa?? acha bana huo uvivu
Ungejaribu wewe ikakubali kweli ulikuwa na sababu za kuniita mvivu, ila kama hujafanya lolote huna nguvu ya kuniita mvivuWe jamaa mvivu sana kila ushauri unaopewa unataka mtu aanze kujaribu yeye ikikubali ndo uambiwe..yani uvivu huo sidhan kama utapata hizo kitu..yani tech haitaki type ya watu wavivu ivooo..pambana acha kutaka taka tuuu yani uafuniwe hadi umezewe we ujikute tu Tumboni umeshibaaa?? acha bana huo uvivu