Mkuu umepata. mimi ninayo ina vyumba viwili including master, choo cha public, stoo, siting room kubwa, dining na ina fensi na bustani nzuri, pia maji na umeme ni uhakika.Wadau natafuta Nyumba ya kupanga kama apartment. Iwe na Room 2 moja iwe ni Master na iwe ndani ya Fens, maji ya Uhakika. Contact me : 0714880007
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Samahanini kidogo, zile apartment za jengo ambalo liko karibu na Hospitali ya Ocean Road bei zake ziko vipi?
sehemu gani?Mkuu umepata. mimi ninayo ina vyumba viwili including master, choo cha public, stoo, siting room kubwa, dining na ina fensi na bustani nzuri, pia maji na umeme ni uhakika.
Kodi ni Tsh. 350,000/- kwa mwezi. nyumba ipo Bukoba mjini.