natafuta anuani ya mlimani tv

sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,896
5,302
hbr za majukumu wandugu,pls mwenye uwezo wa kunisaidia anuani ya mlimani tv nataka kuomba ajira pale,nipo mbali na dar au mwenye kufahamu kwenye nafasi za kazi za editing na grahics, natumia 3ds max adobe na final cut.
 
Back
Top Bottom