Natafuta ajira

Natafuta ajira

Ma2016

Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
10
Reaction score
0
ni graduate wa uhasibu ktk chuo kichopo tz,natafuta kazi yeyote ile nitafanya.Mtazamo Wangu Nikukuza Nakuboresha Kampuni Au Tasisi Ili Iwe Ya Viawango Nakuongeza Uzalishaji,ni Team Work Mzuri,transparency,naongea Na Kila Mtu Ndan Na Nje Ya Tasisi Au Kampun. Tafadhali Wana Jf Nisaidien Wadau Wangu,
 
watanzania tubadilike....wwe umesomea uhasibu afu unakuja hapa unasema kazi yyote utafanyaje
 
kila lakheri mdau. ila jitahidi kuandika vizuri, maana mtu anaweza kuku-judge kuanzia kwenye huo uandishi wako tu na aka-draw a conclusion.
 
Back
Top Bottom