Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,798
- 118,859
Ushauri wangu ni huu; hata ukipata sehemu yenye kamshahara kadogo, ka laki na nusu! Nenda kapambane.Hiyo nisawa baba katika utafutaji na shukurupia kwa ushauli wako asante
Maana ukifanya kazi kwa bidii na weredi, mapato yakiongezeka! Na mshahara wako nao utaongezeka. Siyo lazima sana uanze kazi na mshahara mkubwa.
Uniwie tu radhi kama nilitumia lugha kali.
Secretary
