Natafuta ajira

Natafuta ajira

aunty chu

Member
Joined
Sep 9, 2022
Posts
11
Reaction score
27
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana wakike, nina umri 23, elimu yangu ni kidato cha nne, nina diploma ya Secretary, natafuta kati ya kazi hizi zifuatazo.

Secretary
Duka lolote
Reception
Costumer care
wakala wa miamala mbalimbali

Ninauzoefu wa kufanya kazi mbalimbali sehemu tofauti kwa kujitolea, hivyo basi nahitaji kupata ajira kwasasa, nipo vizuri.

Nipo Dar es salaam mbezi (kimara).

Naomba ni PM kwa maelezo zaidi.

Asanteni.
 
Ndio huyo wewe pichani..?
 
Tatizo lenu nyinyi ni kupenda mishahara ya kuanzia laki 2 kwenda juu, huku viofisi vyetu vyenyewe vikiwa bado vinasuasua kujiendesha.

Mwisho wa siku unakuta tunaamua tu kuwaweka ndugu zetu ili tuwalipe viposho tu vya hapa na pale.
 
Hiyo nisawa baba katika utafutaji na shukurupia kwa ushauli wako asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom