Tafuta hivi vyuo vinavyofundisha graphics & animationNajifunzia wapi
Huo urembo ni moja ya kigezo?Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24. Na si mrembo tu bali ni mchapakazi sana na mwepesi wa kuelewa kitu, na napenda kujifunza pia. Elimu yangu ni ya kidato cha4, Naongea vizuri lugha ya kingereza na kiswahili. Na ni mkazi wa Dar-es-salaam.
Please wakuu naombeni connection za kazi, Nashida sana ya kazi na Mungu awabariki wote.
Kazi ya uhudumu kwenye hotel za kitalii unaweza kufanya?Mimi ni binti mrembo mwenye umri wa miaka 24. Na si mrembo tu bali ni mchapakazi sana na mwepesi wa kuelewa kitu, na napenda kujifunza pia. Elimu yangu ni ya kidato cha4, Naongea vizuri lugha ya kingereza na kiswahili. Na ni mkazi wa Dar-es-salaam.
Please wakuu naombeni connection za kazi, Nashida sana ya kazi na Mungu awabariki wote.
EBwnaa ni pisi kali balaaa...huyu namuweka reception alafu nitakukaribisha mzeya ofisini....ila kula kimasikhara hakuna🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuma picha tuone kama kweli mrembo
Mkuu nitakuwa mwaminifu na kumshauri juu ya mambo ya kimaisha😅 namba zake ntachukua lakiniEBwnaa ni pisi kali balaaa...huyu namuweka reception alafu nitakukaribisha mzeya ofisini....ila kula kimasikhara hakuna🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ah huyu lazima wee utataka kumkula tuu ni mrembo hatarii, yaani mwenyewe naona bor nimuchukue kama wife tuuMkuu nitakuwa mwaminifu na kumshauri juu ya mambo ya kimaisha😅 namba zake ntachukua lakini
Ntumie picha yake dmAh huyu lazima wee utataka kumkula tuu ni mrembo hatarii, yaani mwenyewe naona bor nimuchukue kama wife tuu
Mkuu vipi mbona unacheka!!nimemuuliza tu kama anaweza fanya kazi kwenye hotel za kitalii!!kwani kuna nafasi huko, hata kwa vijana wa kiume wenye uhitaji.Tuma picha tuone kama kweli mrembo
Mrembo hawezi shindwa huyoM
Mkuu vipi mbona unacheka!!nimemuuliza tu kama anaweza fanya kazi kwenye hotel za kitalii!!kwani kuna nafasi huko, hata kwa vijana wa kiume wenye uhitaji.
Utanizidi ujanja hapa wakati mie nilishajipatia mke hapa.🤣🤣🤣🤣🤣Ntumie picha yake dm
Mkuu hapana bana 😅 mie fahari ya macho tu mkuu sina bayaUtanizidi ujanja hapa wakati mie nilishajipatia mke hapa.🤣🤣🤣🤣🤣
Usiwe na wasiwasi mrembo wee kazi unapata na pia utamilikishwa kampuni kabisa. Ushindwe wewe tuu. Ila mitego kwa boss haikubaliki. Mitego ni kwa wateja tuuMke??