Natafuta Ajira

Giambatista Vico

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
357
121
Natafuta kazi ya kujitolea kufundisha.
Mimi ni mhitimu wa Shahada ya Ualimu, 2016. Masomo yangu ni Historia na Kiingereza. Naomba mtu ambaye anafahamu/ kuwa nayo basi tuwasiliane kupitia barua pepe: lusebajuma@gmail.com
Asante.
I hereby look for volunteering 'teaching vacancy'.
I'm a graduate of BAEd in 2016, History and English Language are my subjects. Thus, I beseech, if anyone is aware of or familiar with it, please contact me through email: lusebajuma@gmail.com
Thanks.
 
Back
Top Bottom