Natafuta ajira yoyote!

Tuheshimiane tafadhali
Pole ila pia wengine wamekudharau humu sababu umejiachia sana hata kama una shida ya kazi jaribu mambo mengine kutoyaweka hadharani,na usiruhusu sababu ya shida yako mtu akatake advantage kwako heshima yako iweke mbele.hilo swala la kutoa namba ya simu ilitakiwa uliweke mwisho baada ya kupata mwenye nia ya kweli kukusaidia.
 
Wana Jf si vema sana kuweka no za simu, haraka haraka ktk public, wengine humu ni manyoka!
Dada endelea kutafuta kazi sehemu mbalimbali, hasa kwenda physically!
 

Upo tayari.kufanya kazi.kwa muhindi posta mpya???
 
Wana Jf si vema sana kuweka no za simu, haraka haraka ktk public, wengine humu ni manyoka!
Dada endelea kutafuta kazi sehemu mbalimbali, hasa kwenda physically!

Kuweka namba.sio tatizo

Inshu ni.jinsi gani mtavoitumia iyo namba na wala dada wa watu hana makosa
 
Nahitaji house girl upo tayari,kula kulala hapohapo
 

Andaa vzr cv then nikuelekeze ofis ya kupeleka
 
Kama uko tayari kufanya kazi za masoko hapa Dar ni pm nikupe maelezo zaidi
 
jaribu kuwa makini unapo omba chuo kwani zingatia coz zinazopewa kipaumbele kama vile uwalimu
 
Dada ulisoma hesabu??? Kuna college inatafuta mwalimu wa hesabu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…