Natafuta Ajira Yoyote

Desmond Kamala

Senior Member
Feb 20, 2014
134
195
Natafuta kazi yoyote ya kufanya kwa part time..naongea kiingereza vizuri na ujuzi wa computer..nasoma chuo cha usafirishaji kozi ya mechanical engneering..pia naweza kazi ya kufundisha mathematics,geography..kwa mawasiliano 0624055251 na 0757569232
 
mkandumbwe

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
431
500
Tafuta akaunti ya Instagram atleast iwe active followers 30k. Followers wote wawe watanzania 60% ya follower wawe from Daressalaam. Tafuta na Facebook page iwe na followers atleast 15k..... Nitakupa biashara mtaji na ya vipi utafanya hiyo biashara.
 
Desmond Kamala

Senior Member
Feb 20, 2014
134
195
Tafuta akaunti ya Instagram atleast iwe active followers 30k. Followers wote wawe watanzania 60% ya follower wawe from Daressalaam. Tafuta na Facebook page iwe na followers atleast 15k..... Nitakupa biashara mtaji na ya vipi utafanya hiyo biashara.
nipo tayar boss 0624055251
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom