zaza777
Member
- Feb 6, 2023
- 11
- 30
Naitwa zaza
Nina Miaka 23,
Natafuta mke wa kuishi nae uchumba hadi ndoa, Umri asizidi miaka 25, , hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox kufahamiana zaidi.
Nina makazi mbeya
Usije Inbox kama haupo serious plz.
Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini.