Natafuta ajira sehemu yoyote halali

Natafuta ajira sehemu yoyote halali

vioner

Member
Joined
Mar 3, 2019
Posts
58
Reaction score
22
Habari wana JF kama kicha kinavyojieleza apo mimi ni binti wa miaka 22 natafuta ajira elimu yangu ni kidato cha sita mpaka sasa sjapata ajira,nna cheti cha basic computer,microsoft exel na advanced exel naombeni msaada wenu. Pia nna uzoefu wa afisa mikopo.

Kazi yoyote iwe supermarkerts, receptionist, sheli za mafuta, viwandani na maduka ya simu na popote pale.

Sijapata kazi wapendwa naombeni msaada wenu
 
Mungu akusaidie upate kazi mdogo wangu. Mimi sina kazi ila barua yako imenigusa.
 
Habari wana JF kama kicha kinavyojieleza apo mimi ni binti wa miaka 22 natafuta ajira elimu yangu ni kidato cha sita mpaka sasa sjapata ajira,nna cheti cha basic computer,microsoft exel na advanced exel naombeni msaada wenu. Pia nna uzoefu wa afisa mikopo.

Kazi yoyote iwe supermarkerts, receptionist, sheli za mafuta, viwandani na maduka ya simu na popote pale.

Sijapata kazi wapendwa naombeni msaada wenu
Mawasiliano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom