Natafuta ajira, nisaidie yatima mie

Natafuta ajira, nisaidie yatima mie

Martin Rose

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
5
Reaction score
11
ShIKAMONI

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina hishi na ndugu yangu ni yatima mwaka 2015 ni mwaka nilio poteza wapendwa wangu

Mpaka kufika hapa nimepitia mengi ya kuniumiza kila ninapokumbuka nimesoma lakini kusoma kwangu muda mwingi machozi yalikuwa hayakauki kwangu

Nimeokota chupa ili kumudu ghalama za maisha nimepika mgahawani nimeuza sabuni ili tu kumudu ghalama za maisha

Lengo langu la barua hii hapa naomba mnisaidie kupata kazi ya haina yoyote ile kwani nimepata ushuhuda kuwa mtandao huu umeweza kuwasaidia watu wengi nifanyeni na mimi nifurahi

Nisaidie kufuta haya machozi napo kaa sasaiv nimatusi kila siku sina kimbilio jamani watanzania naomba msaada
 
Ndugu pole sana!! Sema hiyo smartphone ufuge kuku wa biashara
 
Pole sana.
Ungetuliza hasira au jazba ukajieleza vizuri kuhusu elimu yako, dini yako, uko mkoa gani, kazi za aina gani unaweza fanya bila lawama au matusi au makwazo.
Eleza vizuri...huwezi jua...

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
ELIMU YANGU DIPLOMA IN PSYCHOLOGY DINI YANGU MKRISTO NIPO DSM KAZI YEYOTE NAWEZA FANYA
 
Umri huo unasema umepitia mengi, Haupo serious !! Pambana wako wenye 30+ hawana mwelekeo na Wanategemewa as long as Una miguu na mikono, MUNGU, BIDII NIDHAMU , JICHANGANYE

KIFUPI, Mleta uzi sema exactly ni kazi zipi unaweza zifanya, KUTIA HURUMA HAKUTASAIDIA LOLOTE, hio kusema kazi yoyote ni NJAA, kuwa specific... Kazi zipi utafanya na zipi hutafanya.

POLE SANA kwa kuondokewa na wazazi. Mungu akupiganie katika safari yako.

BUT zingatia hayo, naongea from Experience ya humu JF, Madogo huku mnajifanya kazi yoyote fresh, ila tukiwapa connection mnaenda kuchagua Kazi. Yaani mnataka mishahara minono halafu kujituma hamtaki.

(Degree Oriented).

.......INAKATISHA SANA TAMAA.....
 
Umri huo hata wazazi wako wangekuwepo ilibidi ww ndo uwasaidie...
 
SIJASEMA IVYO NDUGU
Miaka 22 mbona ni umri wa kujitegemea huo! Iweje mpaka leo ujivunie kuwa yatima, kiasi cha kuiita kabisa yatima2015!!

Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, basi muda wake wa kufa ukifika! Atakufa tu. Yaani hata wewe na huo uyatima wako, utakufa. Hivyo unatakiwa upambane, badala ya kulia tu na kuomboleza watu ambao hutowaona tena.

Mwisho kabisa jitahidi kuto kuchagua kazi! Siku hizi wenzako wa umri wako, wanafanya kazi za umachinga! Bodaboda! Kubeba zege! Kupiga debe! Kulima! Kufuga! nk. Sasa wewe kama unataka kazi nzuri kwa sababu tu ni yatima! basi unatakiwa ujitafakari.
 
Pole sana. Lakini kwa kuwepo Dar, hua wanasema ni mchongo tosha maana kulala njaa ni ngumu. Damka nenda hata feri kule ukabebe samaki upige jaramba.

Af, ndugu yangu, sio kwa ubaya, lakini tuandikie hata kwa herufi ndogo japo kidogo. Hizi upper case zinafokea
 
NINA MATATIZO YA MACHO KWAIYO SIONI VIZURI MAANDISHI MADOGO SINA MEWANI KWASASA
 
ShIKAMONI

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina hishi na ndugu yangu ni yatima mwaka 2015 ni mwaka nilio poteza wapendwa wangu

Mpaka kufika hapa nimepitia mengi ya kuniumiza kila ninapokumbuka nimesoma lakini kusoma kwangu muda mwingi machozi yalikuwa hayakauki kwangu

Nimeokota chupa ili kumudu ghalama za maisha nimepika mgahawani nimeuza sabuni ili tu kumudu ghalama za maisha

Lengo langu la barua hii hapa naomba mnisaidie kupata kazi ya haina yoyote ile kwani nimepata ushuhuda kuwa mtandao huu umeweza kuwasaidia watu wengi nifanyeni na mimi nifurahi

Nisaidie kufuta haya machozi napo kaa sasaiv nimatusi kila siku sina kimbilio jamani watanzania naomba msaada
Pole sana mdogo wangu lakini usiutumie uyatima Kama kigezo Cha kuonewa huruma,,,miaka 22 wewe ni mwanaume tayari ,,,tafuta hata site uanze hata saidia fundi ,,jichanganye hata kwenye vijiwe upate hata boda ya mahesabu kifupi usichague kazi,,,

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kuandika ni rahisi sana. Umewahi kufanya kazi ya saidia fundi au bodaboda?
 
Back
Top Bottom