africankid
Member
- Feb 24, 2015
- 5
- 2
wadau wa jamii poleni sana namajukumu yakazi na Jamaa yangu kamaliza Chuo mbeya university of science and technology anatafuta kazi.amehitimu diploma in civil engineering na GPA yake ni 3.4 kwa yeyote anaeweza kumsaidia kupata ata kwamda. ASANTENI