Natafuta ajira Nina degree ya mechanical engineering

Tutasaidiana kwa kadri ya uwezo ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww GPA Ndogo haimanishi hujui why and Huna theory, na haimanishi mtu ambaye ana GPA kubwa knows why on design


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww GPA Ndogo haimanishi hujui why and Huna theory, na haimanishi mtu ambaye ana GPA kubwa knows why on design


Sent using Jamii Forums mobile app
Duh sijui hata kama unaelewa ulichoandika.

Lets say kwenye kozi ya engineering design mwanafunzi wa kwanza kapata A na mwanafunzi wa pili kapata C (tena baada ya kusapua).

Mpaka hapo, KWA AKILI YAKO, unadhani ni mwanafunzi gani unadhani atakua njema kwenye hiyo kozi?

NB: Jibu kwa kutumia LOGIC na sio USHABIKI.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…