Natafuta ajira Nina degree ya mechanical engineering

mechanical engineering kama hauna GPA kuanzia ya 4,nenda kwenye viwanda vya wahindi,kama inaanzia 4 tembelea migodini hasa shinyanga utapata mshahara Wa kufuru
Usimtishe dogo ndio maana nyiny mnao jifanya mna GPA kubwa huwa nagonga practical vyet pemben

Huwa hatuangalii vyet siku hz tuna angalia uwezo wa kivitendo tu cha kumshaur akomae na practical tu.

Na hzo GPA zenu Kuna jamaa alilia kaja kavimba kapewa ka practical kadogo tu kamchemsha mzungu akamuweka kando akakosa 3.5m kwa mwez na marurupu ya sigara na bia
 
Kuna mawili eitjer huna GPA kubwa au unawaonea wivu wenye GPA kubwa.

Ivi injinia anaweza ku design bila kujua theory?
 
Kwa wewe unaweza ukaanzia kwenye gereji za mitaani uku ukiangalia na sehemu nyingine
 
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 natafuta kazi Nina elimu ya mechanical engineering level ya degree
Napatikana dar es salaam kwa sasa
0656 548919
una 10 years experience, ya management ya fleets. nenda kampuni moja inaitwa fabec.or vist www.fabec.co.tz ukishapata location peleka cv ofisini kwao
 
Mkuu, mishahara minono ni kuanzia pesa ngapi??
Jambo lingine nemegundua watu wengi hudanganyana sana kuhusu mishahara ya migodini kwamba ni mikubwa sana. Huu ni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku za nyuma kulikuwa na tangazo la kazi kwenye kampuni inayojenga SGR kituo cha Dodoma.
Zipo njia nyingi za kupata kazi:-
1.Nenda ulipofanyia field omba kama volunteer uku ukiendelea kupata uzoefu wa kazi.
2.Nenda kwenye Garage hata za mtaani kwa kuanzia ili walau upate A,B,C..za namna ya kuanzisha Garage yako Siku za usoni.
3.Nenda kawaone mafundi wa Temesa ili upate uzoefu kwa upande karakana za Kiserikali.
4.Waone Mantrac/CAT hapo pugu road ili uanze kama mwanafunzi.
5.Tembelea Bodi ya usajili ya wahandisi ili ujisajili kama Graduate Engineer, then uingie kwenye SEAP program.
6.Unawaze kuwaona SIDO kwa ushauri au kusaidia kuandaa design mbalimbali/michoro e.t.c
 
Kakudanganya nani ww! Theory ni precursor ya practical , hujui theory , hujui practical!

Hii mambo ya kujaribu kudis connect theory na practical inatokea sana huku kwetu ambako engineer amabaye originally alipaswa kuwa designer na developer anaishia kuwa technician!
 
Kumbe wewe unawaza Ulaya sisi tunaongelea nchini kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…