Ntikwite
Member
- May 13, 2017
- 94
- 54
Habari za wakati huu nduguzangu, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye maada.
Mimi ni mhitimu wa elimu ya afya katika Chuo cha Afya Kigoma 2022, level ni (CO) Clinical Officer, naombeni connection ya kazi inayoendana na taaluma yangu.
NB: Nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania, asanteni. 0628995639