Natafuta ajira katika kampuni yeyote

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Habari wakuu!

Kwa jina naitwa Godfrey, nimehitimu kidato cha sita mwaka jana. Lengo na dhumuni la post hii ni kuomba fursa za ajira katika kampuni au ofisi yeyote ili mradi itoe fursa za ajira ambazo zinaeleweka kiserikali.

Kwa aliye tayari kunipa ajira au hata dondoo za ajira anitafute namba hizi 0763929404. Naombeni mnisaidie!
 
Back
Top Bottom