NATAFUTA AJIRA (FULL TIME EMPLOYMENT)

NATAFUTA AJIRA (FULL TIME EMPLOYMENT)

WISE G THE BRAIN

New Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Habari wana JF mimi ni kijana wa kiume nimesoma BA of Arts with Education St augustine university (2015) nikafanikiwa kupata kazi kwenye kampuni ya mawasiliano kama mzimamizi wa mauzo kwa miaka miwili mpaka mkataba ulipoisha, kwa sasa natafuta kazi katika kada ya Elimu,Au kwenye NGO au kazi ya Mauzo kwenye kampuni yoyote Dar es salaam na mikoani.ni kijana ambae ntakupa matokeo mazuri katika kazi yako na ni muaminifu.
ASANTENI
 
Tumia kichwa kufuga ubongo c kufugia nywele.
Usimutukane Bure, ni jambo LA kuelekezana tu.

Moja kama umefanyakazi miaka 2 na bado unatafuta ajira badi iwe tu km mshahara hautushi, ila km ulikuwa unatosha basi atakuwa hajasoma maxingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom