Natafuta Adsense verified nina Tsh 50000

kiraza

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
386
Reaction score
542
Habari,

Natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo Dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro yoyote.

Ahsante.
 
Habari, natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro yoyote, Asante.
Wakiamka Watakuja, Vuta Subra!
 
Habari,

Natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo Dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro yoyote.

Ahsante.
Mbona unataka kupoteza hela tu, Adsense account ya YouTube ni sawa na bure, tengeneza chanel na upload video na uende kwenye setting uenable monetization.
 
pesa ndogo hiyo, komaa lakini siku hizi njaa nyingi unaweza pata
 
Mbona unataka kupoteza hela tu, Adsense account ya YouTube ni sawa na bure, tengeneza chanel na upload video na uende kwenye setting uenable monetization.
Unaelewa ninaposema Verified Account? mzee
 
Naelewa si ile mtu ameshatumiwa zile namba kwa njia ya posta na kuziingiza, nahisi ukifikisha Dollar kumi ndo wanakutumia.
 
So hayo yote Unadhani ni rahisi kiasi hicho bosi? na yanachukua muda gani!? Kutumq tu baru wanatuma baada ya wiki mbili au tatu!
 
Kama una uhakika wa kutengeneza hizo Dollar kumi ndani ya siku tatu barua itatumwa haraka na ndani ya wiki moja unakuwa umepata barua yako. usiwe na haraka kama una uhakika wa kuwa na Chanel nzuri. Otherwise labda kama hauna sanduku la posta hasa Dar.
 
Mbona unataka kupoteza hela tu, Adsense account ya YouTube ni sawa na bure, tengeneza chanel na upload video na uende kwenye setting uenable monetization.
siku hizi kuna ugumu kidogo lazima ufikishe viewers 10,000.. zamani ilikua rahisi tuu ndani ya masaa kadhaa inakua tayari..
 
Habari,

Natafuta Youtube adsense verified account nina Tsh 50000 isiwe disabled kwenye youtube monetization, nipo Dar na ni lazima tureview account kabla ya kulipia ili kujua kama ina kasoro yoyote.

Ahsante.

umekosea. bei ya hiyo account ni chini ya hapo. punde utapata maana dau lako ni kubwa
 
post video nying nyingi... kupata hao viewers ni rahisi sana....
 
Back
Top Bottom